Inatakiwa unapopata hela uonyeshe kwa umma unavyoweza kujiongeza kwa kufanya kitu ambacho kitawapa Imani wananchi...mfano Kuna watu wanapokea mshahara laki 5 lakini wanamiliki vitu vyenye thaman ya Hali ya juu SanaIlipo R na L ni mbali sana. Usijali lakini, twende kazi.
Ila kukuondolea aibu ya kutoa majibu irrelevant katika hoja utakazo jibu nikukumbushe kupitia vidokezo vyako kuwa ruzuku uliyotaja na kujenga maofisi sidhani kama unajua malengo ya hizo ruzuku zitolewazo kwa vyama vya siasa.
Na mengi tuu uko wrong
Ni sera za chama cha mapinduzi kuwaibia wananchi kwa kisingizio cha miradi. Mradi wa laki moja unaandikiwa milioni 100.Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzalendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na mafanikio tuliyoyafikia, Kuna vyama toka 1992 mpaka Leo vimekuwa vikipokea fedha kutoka kwa wafadhri, Ruzuku na kuchangisha watu michango lakini bado Kuna giza nene juu ya matumizi ya fedha hzo wengine hata ofs hawana, kwahyo sisi Kama makada na walinzi wa Chama Cha Mapinduzi lazima tuwatahadharishe wananchi wasiingie mkenge tunashukru kuona umma unajua tayari, hz barabara, disp. Hosp za rufaa kila mkoa, CT scan kila mkoa, madaraja, Elimu bure, mikopo vyuo vikuu, vivuko, nk. Ni sera ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Hizo ndio zile akili za Magufuli. Bunge linapitisha budget iliyotengenezwa na wataalamu kununua madawa kwa uhai wa wananchi yeye anaamua kuzitoa huko kununua ndege ili zika park tuu pale Airport ili watu wamsifie kuzuona ndege lakini watu wanakufa vijijini kwa kukosa dawa.Inatakiwa unapopata hela uonyeshe kwa umma unavyoweza kujiongeza kwa kufanya kitu ambacho kitawapa Imani wananchi...mfano Kuna watu wanapokea mshahara laki 5 lakini wanamiliki vitu vyenye thaman ya Hali ya juu Sana
Hiyo mil. 20 ya ujenzi wa darasa mbona inatosha Sana na halmashaur kibao zimefanikisha ujenzi wa darasa kwa pesa hyo labda shida Ni halmashaur yako mkuuNi sera za chama cha mapinduzi kuwaibia wananchi kwa kisingizio cha miradi. Mradi wa laki moja unaandikiwa milioni 100.
Kwani hatuoni? Mnaleta vijisenti kiduchu kujenga shule na matokeo yake wananchi wanatakiwa kuchangia tena.
Muwe wakweli nyie wezi wa kodi zetu. Mnachotupatia ni chenji tu, mapesa mnapiga na kujitajirisha na familia zenu.
Kujenga chumba cha darasa kwa mfano, mnatoa 20m. Hivi study ya hizo gharama mlifanyia wapi? Bado humohumo mnakata kodi na ada.
Kweli mnajua kutukomoa. Tozo nyingi maendeleo kidogo.
Hapana mkuu sahzi Hakuna uhaba wa madawa mahosp. Msd wapo active Sana kupeleka madawa huko mahospitalini.Hizo ndio zile akili za Magufuli. Bunge linapitisha budget iliyotengenezwa na wataalamu kununua madawa kwa uhai wa wananchi yeye anaamua kuzitoa huko kununua ndege ili zika park tuu pale Airport ili watu wamsifie kuzuona ndege lakini watu wanakufa vijijini kwa kukosa dawa.
Kumbe sikukosea awali niliposema ni walewale!
Mimi niko huku kijijini, ninayaona yanayofanyika.Hiyo mil. 20 ya ujenzi wa darasa mbona inatosha Sana na halmashaur kibao zimefanikisha ujenzi wa darasa kwa pesa hyo labda shida Ni halmashaur yako mkuu
Dawa za kutuliza maumivu na ARV. Zaidi ya hapo zahanati hakuna dawa.Hapana mkuu sahzi Hakuna uhaba wa madawa mahosp. Msd wapo active Sana kupeleka madawa huko mahospitalini.
Sawa comrade inamaana mkurugenzi wako Hana vyanzo vya mapato vingine akaongezea ili kutowachangisha wananchi? Bila shaka wananchi wanapewa Elimu ya umhm wa kuchangia shughuli za maendeleo Yao wenyewe ili kusogeza huduma karibuMimi niko huku kijijini, ninayaona yanayofanyika.
Hizo halmashauri si kwamba zinatumia hela hiyo tu. Wanawakamua pia wananchi kwa kazi mbalimbali.
Watendaji wa kata na vijiji ndio wanaobeba hilo zigo kugombana na wananchi.
Mko ofisini kuku kwa mrija mnajua nini?
Hakuna mkurugenzi atakayesema fedha haitoshi. Anaogopa kunyonyolewa.
Kumbuka nchi ni kubwa. Niliko mimi mfuko wa saruji ni 18,000 bila nauli. Mnalinganisha na kinondoni ambako saruji, bati na nondo viko upenuni bei rahisi na vinasogezwa na guta tu.
Njoo kijijini uone.
Hahaha..POSHO TU BILION 47 NANI ATAKUWA MZALENDO WA KULIPA KODI?
Upokee laki 5 kisha umiliki vitu vya hali ya juu sana, ww lazima utakuwa mwizi. Hao ndio wako kwenye ripoti chafu za CAG. Labda kwakuwa huko CCM wizi ni sifa, basi unaweza kuwa sahihi kiccm.Inatakiwa unapopata hela uonyeshe kwa umma unavyoweza kujiongeza kwa kufanya kitu ambacho kitawapa Imani wananchi...mfano Kuna watu wanapokea mshahara laki 5 lakini wanamiliki vitu vyenye thaman ya Hali ya juu Sana
Ukiwa na bima ya Afya ukienda kwenye dispensary ukakutana na clinical officer Kuna dawa hatakiw kukuhudumia kwenye bima yako hata Kama zpo..... wenyewe wanajua
Ukiwa na bima ya Afya ukienda kwenye dispensary ukakutana na clinical officer Kuna dawa hatakiw kukuhudumia kwenye bima yako hata Kama zpo..... wenyewe wanajua
Hili nitaenda nalo kwasabu ni sawa na kufanyia mtihani nyumban lazima nitapata tu majibu kwasabu yapowazi, kazi zilifanywa na chama Cha Mapinduzi zipo wazi hata mtoto mdogo anakuonyesha,Ukiona wanaccm wenzako wanakimbia humu, na kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola sio kwa bahati mbaya, bali huwa wanakutana na ugumu huu huu unaouona hapa. Ila kwakuwa umeamua kubeba gunia la misumari hakikisha hulitui chini.
Ulitaka nani afanye wakati wao ndio wako madarakani tena kwa shuruti? Yeyoye aliye madarakani angeweza kufanya jambo. Suala sio kufanya, bali kuridhishwa na kinachofanyika.Hili nitaenda nalo kwasabu ni sawa na kufanyia mtihani nyumban lazima nitapata tu majibu kwasabu yapowazi, kazi zilifanywa na chama Cha Mapinduzi zipo wazi hata mtoto mdogo anakuonyesha,
Margins zinaongeaCCM Ni wabunifu wa mawazo na vyanzo vya mapato na kuhakikisha Kodi zetu zinakuwa na return inayo boresha maisha ya kila mtanzania bila kujali chama.
Yani ndiyo umeanza kujibu ?Hizo hela zikishatolewa Kuna ufatiliaji na ukaguzi wa Mara kwa Mara kuhakikisha zimetumika kihalali Kwenye shughuli zinazogusa maslahi ya umma wa Watanzania na adhabu Kali itatolewa na imekuwa inatolewa pale panapotokea ufujaji wa hela za umma.
Serikali yoyote hata zile za wakoloni zilijenga vitu... Lakini je, wanafanya nini kulinda rasimali za Taifa na kuhakikisha Kila mmoja ananufaika??Hatuta jibu kwa matusi Wala kejeli tutajibu kwa kuwaambia watu ukweli kwasabu mambo ambayo Chama Cha Mapinduzi imeshafanya yanaonekana Ni swala la kuwambia tu wananch. kwa mfano ujenz wa daraja la busisi si hata ww unaona, ujenz wa reli ya kisasa si hata ww unaona watu wamepata ajira..etc