GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwani Baba akikutandika viboko kwa ujinga wako utaacha kula ? Baba ni Baba aheshimiwe na keshasema sasa endelea kujifanya unamnunia kama kesho hatutaimba Tenzi za rohoniGENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
CCM baadae au tupa kule au siyo Mkuu?Mungu kwanza.
Amina / AmenLabda kanisa kutoka Arabuni. Lakini hili kanisa limejengwa juu ya mwamba imara. Petro alipewa maagiza hayo na Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ni MUNGU.
Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
Simama katika kweli nayo kweli itakuweka huru.CCM baadae au tupa kule au siyo Mkuu?
Mali na vitu vyote vijazavyo dunia ni mali ya Mungu. Hata Bandari ni mali ya Mungu aliyotupatia tuilinde.Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.
Swadakta!!!CCM baadae au tupa kule au siyo Mkuu?