Wana CCM Wakatoliki Wenzangu je, kuanzia sasa tunabaki na Kulitii Kanisa au tunabaki na Mwenyekiti wetu Taifa na Chama chetu?

Wana CCM Wakatoliki Wenzangu je, kuanzia sasa tunabaki na Kulitii Kanisa au tunabaki na Mwenyekiti wetu Taifa na Chama chetu?

wanasubiri muujiza Kuna watu mnawachanganya hawajui wachague kipi
 
GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
Kwani Baba akikutandika viboko kwa ujinga wako utaacha kula ? Baba ni Baba aheshimiwe na keshasema sasa endelea kujifanya unamnunia kama kesho hatutaimba Tenzi za rohoni
 
𝐑𝐞𝐥𝐢𝐠𝐢𝐨𝐧 𝐢𝐬 𝐚 𝐭𝐨𝐨𝐥 𝐭𝐨 𝐨𝐩𝐩𝐫𝐞𝐬𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐩𝐨𝐨𝐫
 
GENTAMYCINE ambaye ni Shabiki tukuka wa CCM ( japo sina Kadi ya Uanachama ) nasubiri muongozo Wenu manake Mungu na Ukatoliki navitaka na Chama changu nacho nakitaka ila natakiwa nibakie na Kimoja tu.
Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.
 
Kama CCM ndiyo hiyo ya kina mwijaku, Msukuma,lusinde, Zembwela, FaizaFoxy basi mkuu tunapaswa tukupime mkojo utakuwa na UTI sugu. Umeshindwa kutatua swali jepesi la Mungu wetu na wapuuzi ccm?, Tamko la kanisa ni tamko la Kimungu halijibiwi hovyo ni utelelezaji tu.
 
Utachagua kati ya UGALI na MANENO YA KWENYE KARATASI...na chama kilivyo na unafiki mwingi, jichanganye!.
 
Back
Top Bottom