Kauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi. Ni sababu za kuungwa mkono sera fulani kuliko sera hizi. Kwa mantiki hiyo ili kujiunga na chama kingine hakuna ushawishi wa DC wala RC bali ni kazi ya viongozi wa siasa kwenye eneo husika.