Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
imara kwa kuengua wagombea wa upinzani kipumbavu na kufukuza mawakala wa upinzani vituon pamoja na kuingiza mabox ya kura fake.hao ni mamluki tuh ccm ni imara uliza duniani kote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imara kwa kuengua wagombea wa upinzani kipumbavu na kufukuza mawakala wa upinzani vituon pamoja na kuingiza mabox ya kura fake.hao ni mamluki tuh ccm ni imara uliza duniani kote
mfa majiimara kwa kuengua wagombea wa upinzani kipumbavu na kufukuza mawakala wa upinzani vituon pamoja na kuingiza mabox ya kura fake.
Kwa mantiki hiyo DED na DC wakitusumbua tunarudisha kadi ili wafukuzwe kaziKauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi. Ni sababu za kuungwa mkono sera fulani kuliko sera hizi. Kwa mantiki hiyo ili kujiunga na chama kingine hakuna ushawishi wa DC wala RC bali ni kazi ya viongozi wa siasa kwenye eneo husika.
Makopo ya DPW hayoRasmi anaanza kuchanganyikiwa kabisa!!
Kuna shida GANI mtu akihama chama!!?