Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
Unamaanisha mpina ni mchafu?!!!Ukikaa na watu wasafi wanakusafisha.
Si msafi kivile lakin amewazid wanaoomba picha.Unamaanisha mpina ni mchafu?!!!
Mpina ni kiongozi safi, hapendi unafiki, kutokuunga mkono yanayoendelea, ukiukwaji wa katiba ya chama na nchi, lazima iwaume mafisadi na machawa.Kumnafikia kwa ajili ya kumuaga sio mbaya,hatarudi tena kwa mkutano kama huo
Mtakufa nacho kiriba cha rohooo!!! Ndandaaaa! Mtakufa nazo roho mbaya na chuki..... ndandaaa!Mpina ni kiongozi safi, hapendi unafiki, kutokuunga mkono yanayoendelea, ukiukwaji wa katiba ya chama na nchi, lazima iwaume mafisadi na machawa.
Uzuri ni kwamba, mnatumia nguvu kubwa sana kujidanganya. Ukweli upo wazi. Ndio maana hata hizo reforms mnakataa maana mnajua michezo yenu itashindikana.
Ccm ya sasa ni sawa na ccm ile ya kikwete awamu ya pili, awamu ya pili ya kikwete inaweza kua na unafuu.
Hili linafaa lianze kueleweka vizuri kwa waTanzania wote.Huyu yuko team HAKI ya watu wenye kujiamini na Wazalendo sio yale machawa yanayotetea UDHALIMU na UHALIFU unaofanywa na Dola ya Samia.
Wewe najuwa unapambania "AMANI"; huna zaidi ya hilo.Mtakufa nacho kiriba cha rohooo!!! Ndandaaaa! Mtakufa nazo roho mbaya na chuki..... ndandaaa!
Naye awape furusa ya kupiga nao picha...just joking 😄What message are they sending to their chairperson!
BAKWATA wataangalia nani kavaa hijabu upeo wao ndio unaishia hapo.BAKWATA, ambayo ni tawi la CCM unaiweka wapi katika makundi hao?
Ni zaidi ya hapo.BAKWATA wataangalia nani kavaa hijabu upeo wao ndio unaishia hapo.
Kama tumefikia hapo nina khofu kubwa ya kutokea mgawanyiko mkubwa sana kwenye taifa letu na hata mbegu za Civil war zinapandwa.Ni zaidi ya hapo.
Kuna wanaoamini, lile kundi lililiodhibitiwa wakati ule wa Mwalimu Nyerere wakati wa uhuru, sasa limeshika hatamu ya chama hicho. Bila shaka Mzee Said Mohamed anajipongeza sana kwa juhudi zake za kuwatetea wazee wake.
Mbegu zipo sana toka zamani; zilikuwa 'managed' tu vizuri na viongozi waliokuwepo nyakati hizo. Sasa tumepata hawa ambao wanalalia upande huo huo.Kama tumefikia hapo nina khofu kubwa ya kutokea mgawanyiko mkubwa sana kwenye taifa letu na hata mbegu za Civil war zinapandwa.
Kuna wasafi wa kinafiki na wasafi kamiliMpina ni kiongozi safi, hapendi unafiki, kutokuunga mkono yanayoendelea, ukiukwaji wa katiba ya chama na nchi, lazima iwaume mafisadi na machawa.
Uzuri ni kwamba, mnatumia nguvu kubwa sana kujidanganya. Ukweli upo wazi. Ndio maana hata hizo reforms mnakataa maana mnajua michezo yenu itashindikana.
Ccm ya sasa ni sawa na ccm ile ya kikwete awamu ya pili, awamu ya pili ya kikwete inaweza kua na unafuu.