Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Atakuwa amejitenga na MAKENGEš¤£Kumnafikia kwa ajili ya kumuaga sio mbaya,hatarudi tena kwa mkutano kama huo
Atakuwa amejitenga na MAKENGEš¤£Kumnafikia kwa ajili ya kumuaga sio mbaya,hatarudi tena kwa mkutano kama huo
Ndio, atakuwa mjusi(gomamli)Atakuwa amejitenga na MAKENGEš¤£
kuna watu mnaishi na chuki vifuani mwenu muda wote sijui ni umasikini wa akili na mali sasa kwani asiporudi atakufa?Kumnafikia kwa ajili ya kumuaga sio mbaya,hatarudi tena kwa mkutano kama huo
Mnapenda mzaha kwenye mambo ya msingi. Hampo serious na taifa lenu. Kesho mtalia maisha cjui hiki na kile.Mtakufa nacho kiriba cha rohooo!!! Ndandaaaa! Mtakufa nazo roho mbaya na chuki..... ndandaaa!
Role model waoMbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025