PreGE2025 Wana CCM walivyoomba kupiga picha na Luhaga Mpina kwenye Mkutano wao Mkuu Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
  1. UTU
  2. HAKI
  3. KAZI"""""""""""...........................................Ndio Tutasonga Mbele,,Tofauti Na Hapo Tutaendelea Kusonga Ugali Tu.............."""""""""""""""
 
Hao woote hawamkubali kizimkazi, hadharani wanazuga tuu kwamba wanamkubali (njaa haina baunsa)...ndio maana sa100 akavunja katiba ya chama kupitishwa kiaina kuwa mgombea pekee urais via ccm.
 
Kumnafikia kwa ajili ya kumuaga sio mbaya,hatarudi tena kwa mkutano kama huo
kuna watu mnaishi na chuki vifuani mwenu muda wote sijui ni umasikini wa akili na mali sasa kwani asiporudi atakufa?
 
Mtakufa nacho kiriba cha rohooo!!! Ndandaaaa! Mtakufa nazo roho mbaya na chuki..... ndandaaa!
Mnapenda mzaha kwenye mambo ya msingi. Hampo serious na taifa lenu. Kesho mtalia maisha cjui hiki na kile.
uchawa kazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…