Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Umekosa hoja!! Mwamba kawapoteza Moja kwa Moja!!Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.
Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.[emoji23]Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.
Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Ukiendekeza NJAA Kuna siku waweza poteza hata UANAUME wako walahi!πππππKanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.
Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Kawafunika kwa vipiHata hivyo huyu mtu ana sauti ya mamlaka sana.
Tatizo tu ni mtu wa hila.
Angekuwa amenyoooka angefika mbali sana.
Amemfunika Katibu mkuu na Hangaya kabisa
Kiufupi Makonda kawapoteza Machadema Kwa sababu hawakuyegemea mtu walihe mbrand kama mbaya harafu awe nguzi kuu ya ccm.Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke mpaka wa wilaya au mkoa ndipo wapumue.
Jambo ajabu wanaamini wasiopenda kwenye mikutano yake watatumbuliwa. Swali lakujiuliza, wataishi hivi hadi lini? Kwanini wasitafute kazi za ziada wawe huru?
Kama Rais Samia kabariki haya maigizo basi CCM inapaswa kujitafakari upya. Mbali na hao watenda wakuu kwenye ngazi za mikoa na wilaya, wafanyakazi wa serikali hasa walimu na wanafunzi ulazimishwa pia kuuzuria mikutano hii ya Makonda. Watendaji si sehemu ya chama, waachwe wawahudumie wananchi.Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.