Wana-CHADEMA mna chuki na Sabaya sababu alisimama kidete kumg'oa Mbowe Hai na kuifuta CHADEMA. Kwenye maisha lolote linaweza tokea msikariri

Hii ndio namna ya kujizolea umaarufu hapa mitandaoni. Halafu sio wewe tu, mko wengi mnaotumia mbinu hii ya kujizolea umaarufu.
Kueleza uhalisia na ukweli ni kujizolea umaarufu? Hamchukii Sabaya sababu alimfurusha Mbowe?
 
Kwa taarifa yako alikuwa anakodi vijana wa JW wasiowaaminifu kutoka Monduli kutimiza uhalifu wake. In short alikuwa Jambazi. Hawa vijana ni wale wanaokaa uraiani.

Wananchi wanajua kila kitu, sema hawakuwa na pa kusemea. Hapa ni Mungu katengeneza njia mwenyewe.
 
Kupora pesa na mali za wafanya biashara ndio kuing’oa CHADEMA?!
Hivi nyie viroboto mara chawa sijuhi kupe, mmejaza mavi kichwani?!
 
Hujui kitu bora unyamaze tu ndg yangu sisi wa hai tunajua sabaya alikua nani yule acha yamkute malipo ni hapa hapa
 
Hivi weye huwa una akili?Chunguzwa!
 
Kamwe usije ukakosea ukamlinganisha Mbowe na hili fisadi
Your browser is not able to display this video.
 
Babake kuzimu, mwana ndani miaka 90. Kuna kitu Mungu anataka MATAGA mjifunze ila naona kama hamuelewi!
 
Hayatuhusu Mbowe analindwa na damu ya Yesu jangili Sabaya acha afie gerezani
 
Nimeshangaa sana kuona General Sabaya anamwaga machozi kizimbani Mahakamani,daaah maisha yanaenda kasi sana,nadhani ni vema ANGEKUNYA kabisa tujue moja,machozi hautoshi[emoji23]
Bado kuna mvua za kutosha zinakuja ana kesi zaidi ya 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…