Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Mtumie fool mmoja X anaitwa Maria...

Wameshinda hawajui wafanye nin na ushindi....

Lakini hakuna haja ya hasira, muda ni rafiki mzur sana wa kuzima ulaghai.
Hawajui? Hahahhaha yaani mtu alifanya kampeni alafu hajui afanye nini? Move on, Mbowe alikubali kushindwa nyie wala ruzuku ndio mnalialia
 
Hawajui? Hahahhaha yaani mtu alifanya kampeni alafu hajui afanye nini? Move on, Mbowe alikubali kushindwa nyie wala ruzuku ndio mnalialia
Sasa mkuu ruzuku ya Mil 100 ni pesa mbuzi sana kaka...

Kama ndio hiyo mapank alikuwa anatolea macho gari inaenda kuishiwa mafuta Ruvu
 
Sasa mkuu ruzuku ya Mil 100 ni pesa mbuzi sana kaka...

Kama ndio hiyo mapank alikuwa anatolea macho gari inaenda kuishiwa mafuta Ruvu
Mtateseka sana. Mbona Mbowe mwenyewe amekubali yaishe kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Yeye meenyewe anatukana sasa analazimisha mawazo yake ndio iwe amri? Atakuwa ameumizwa na kupoteza kwa mbowe atulie. Sijaona cha maana alichozungumza zaidi ya mbwembwe
 
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Hayo ni mawazo yake na wapigakura wana mawazo yao
 
Anyone who is mentally and interlectually perfect can describe this person speaking in this voice note as following:

KWANZA: Huyu mzungumzaji he himself a fool 100% lakini hajijui kuwa he's a fool...

PILI: Kwa namna anavyoongea tu, anaonesha wazi kuwa ameumizwa sana na ushindi wa Tundu Lissu na ameumizwa zaidi kushindwa kwa mtu wake Freeman Mbowe. This shows that he's not politically tolerant...!

TATU: Na haina shaka yoyote kuwa ana chuki na Tundu Lissu isiyo na kichwa wala miguu na simply ni kwa sababu tu aligombea uenyekiti ambao kwenye kichwa chake yeye anaamini kuwa hiyo ilikuwa ni "mali ya Freeman Mbowe" na hivyo Tundu Lissu alifanya kosa la jinai kuutwaa uenyekiti wa Mbowe mali ya mtu binafsi...!

NNE: Analalamikia njia aliyotumia Tundu Lissu kugombea uenyekiti lakini anajikanyaga tu bila kutoa maelezo tatizo ni nini. Kwamba TL alitumia njia za mkato zisizozingatia taratibu na kanuni za chama kuomba kugombea uenyekiti, au nini..?

TANO: Kila mtu inabidi amshangae jamaa huyu, maana njia na hatua alizofuata Tundu Lissu ni njia halali za kikatiba na kikanuni. Alifanya kila jambo hatua kwa hatua na kwa uwazi akieleza kila kitu bila kumvunjia heshima mtu awaye yeyote..

➡Kwanza alianza na hatua ya kwanza ya kutangaza nia....

➡Pili, akaenda akachukua fomu ya maombi ya kuteuliwa kuwa mgombea...

➡ Akapewa, kisha kuijaza....

➡Akairejesha hiyo fomu ndani ya muda wa kikanuni...

➡Akafanyiwa usaili....

➡Akapitishwa na kamati ya uchaguzi na akawa mgombea rasmi....

➡Uchaguzi wa wazi ukafanyika....

➡Akapigiwa kura...

➡Hizo kura zikahesabiwa hadharani...

➡Akamzidi Freeman Mbowe kwa kura nyingi tu...

➡Mwisho akatangazwa mshindi na sasa ndiye mwenyekiti

##Sasa huyu jamaa anaumizwa na nini hasa? Tundu Lissu kakiuka utaratibu gani hasa hata imuumize kiasi hicho?

SITA: Kama ni "character assassination", basi Tundu Lissu kawa assassinated characteristically kwa kiwango kikubwa sana. Na ukiacha tabia hii kufanywa na timu yake Freeman Mbowe ya kampeni, Mwenyekiti mshindwa mwenyewe kwa kinywa chake mara nyingi kila alipopata nafasi ya kuongea kwenye interview mbalimbali za media alimshambulia Tundu Lissu sio kisera bali kwa kushambulia personality na utu wa Tundu Lissu vigorously..

Freeman Mbowe alikosa kabisa hoja za kuutetea uenyekiti wake dhidi ya Tundu Lissu kiasi kwamba akaanza kuyageuza mambo binafsi ya maisha ya kawaida kati yao na Tundu Lissu waliyofanyiana miaka mingi iliyopita kama marafiki na binadamu kama hoja za kushawishi watu na wapiga kura kumwelewa ili aonewe huruma na kupigiwa kura..

KWA MFANO;

➡ MOSI; Freeman Mbowe alitumia ishu ya kumwazima Tundu Lissu gari lake (which is so personal and completely irrelevant na maswala ya uchaguzi badala yake hili yeye akalifanya kama hoja na sera ya kiuchaguzi...)

➡PILI; Kama tu huyu bwana (mzungumzaji kwenye voice note hii) anavyolalamika hapa, can you imagine kuwa Freeman Mbowe ktk kuutetea uenyekiti wake alithubutu mpaka kutoa kufuru ya wazi kabisa mbele ya watu na Mungu kuwa asingekuwa yeye, Tundu Lissu mwaka 2017 mara baada ya shambulio la jaribio la kuuwawa Dodoma basi huyu Tundu Lissu wa leo asingekuwa hai..?

##Hili hapo☝🏻☝🏻☝🏻hata wana CCM walio bado na akili timamu kama MamaSamia2025 na wengine ukiacha wale waliokunywaga rangi ya kijani na ku - corrupt ufahamu na intelligence zao kina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah Elitwege and others walimshangaa kiasi cha kujiuliza huyu mwamba kapatwa na nini?

Kwamba, Freeman mbowe na watu wake wameishiwa hoja kabisa kiasi cha kuamua kuudhalilisha utu wa msaidizi wake, makamu Mwenyekiti wake waziwazi ? Why is he so desperate kuutetea uenyekiti wake kwa njia na namna hii ya kumfuru Mungu na watu kiasi hiki..?

##Lakini ndo hivyo. The guy didn't care anything. Badala yake Freeman Mbowe akaifanya hii kuwa hoja ya kiuchaguzi...

This was absolutely terrible na kwa hakika kabisa hili Mbowe alijishushia hadhi yake sana na no wonder kuwa alishindwa uchaguzi ule...!

Yapo mengine mengi ambayo tukiyaorodhesha hapa, tutajaza server za JF zote..

➡ Lakini ipo HOJA ZA FREEMAN MBOWE kumwazima TL gari, kusaidia wakati akiumwa, kula naye pamoja na uongo mwingine uliokuwa ukisemwa na Team Mbowe,..

The question is mlitegemea Tundu Lissu aseme nini pale ambapo alikuwa akifuatwa na medias kutakiwa atolee maelezo tuhuma na shutuma hizo dhidi yake? Apige makofi na kushangilia..?

Obviously JIBU NI HAPANA...!!

Nevertheless, shida ilikuwa inakuja, kila Tundu Lissu alipoinua kinywa chake kujibu hoja za Freeman Mbowe ndipo hapo TEAM MBOWE na Freeman Mbowe mwenyewe walipokuja na kumuona Tundu Lissu kama MTU ASIYE NA SHUKRANI vile, sawasawa kabisa na anayojieleza huyu ndugu hapa kwenye voice note hii.!

Yaani umsemee uongo mtu, akikanusha uongo huo basi huyo mtu anakuwa hana shukrani? Really...?

Na iliyotia fora zaidi ni hii video👇🏻👇🏻

View: https://youtu.be/prMmQ-gW4Nk?si=-NMpQFAKc3n234eh

Sasa hapa kwa mfano tulitaka Tundu Lissu ajibu kitu gani kama tuhuma zilizotolewa na Freeman Mbowe dhidi yake ni uongo? Auache uongo uenee bila kuukanusha?

Hapana. Hapa hakukuwa na jinsi isipokuwa ifanyike hivi ilivyotokea na kufanyika...

Sanasana kikubwa kilichopaswa kufanyika, ilikuwa nI Freeman Mbowe mwenyewe kujifunza kuchunga mdomo wake kunenea watu wengine uongo maana mwisho wa siku, uongo ungekanushwa tu na kumrudi mwenyewe kama ilivyotokea hapa☝🏻☝🏻

Pole sana ndugu...

Lakini hiyo imeshatoka na kubali tu kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti CHADEMA sasa. Na hiyo kadi ya "Platinum membership" ondoka na uende nayo huko uendako iwe ni CCM na huko huko uliko iwe ni Marekani au shimoni...

PILI: Kwa namna anavyoongea tu, anaonesha wazi kuwa ameumizwa sana na ushindi wa Tundu Lissu na ameumizwa zaidi kushindwa kwa mtu wake Freeman Mbowe. This shows that he's not politically tolerant...!

TATU: Na haina shaka yoyote kuwa ana chuki na Tundu Lissu isiyo na kichwa wala miguu na simply ni kwa sababu tu aligombea uenyekiti ambao kwenye kichwa chake yeye anaamini kuwa hiyo ilikuwa ni "mali ya Freeman Mbowe" na hivyo Tundu Lissu alifanya kosa la jinai kuutwaa uenyekiti wa Mbowe mali ya mtu binafsi...!
 
Back
Top Bottom