Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Mtumie fool mmoja X anaitwa Maria...

Wameshinda hawajui wafanye nin na ushindi....

Lakini hakuna haja ya hasira, muda ni rafiki mzur sana wa kuzima ulaghai.
Hawajui? Hahahhaha yaani mtu alifanya kampeni alafu hajui afanye nini? Move on, Mbowe alikubali kushindwa nyie wala ruzuku ndio mnalialia
 
Hawajui? Hahahhaha yaani mtu alifanya kampeni alafu hajui afanye nini? Move on, Mbowe alikubali kushindwa nyie wala ruzuku ndio mnalialia
Sasa mkuu ruzuku ya Mil 100 ni pesa mbuzi sana kaka...

Kama ndio hiyo mapank alikuwa anatolea macho gari inaenda kuishiwa mafuta Ruvu
 
Sasa mkuu ruzuku ya Mil 100 ni pesa mbuzi sana kaka...

Kama ndio hiyo mapank alikuwa anatolea macho gari inaenda kuishiwa mafuta Ruvu
Mtateseka sana. Mbona Mbowe mwenyewe amekubali yaishe kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Yeye meenyewe anatukana sasa analazimisha mawazo yake ndio iwe amri? Atakuwa ameumizwa na kupoteza kwa mbowe atulie. Sijaona cha maana alichozungumza zaidi ya mbwembwe
 
Hayo ni mawazo yake na wapigakura wana mawazo yao
 
Suala la mbowe litakutesa maisha yako yote. Amua tu uishi naye. Ongea na mkewe akukubalie
 
PILI: Kwa namna anavyoongea tu, anaonesha wazi kuwa ameumizwa sana na ushindi wa Tundu Lissu na ameumizwa zaidi kushindwa kwa mtu wake Freeman Mbowe. This shows that he's not politically tolerant...!

TATU: Na haina shaka yoyote kuwa ana chuki na Tundu Lissu isiyo na kichwa wala miguu na simply ni kwa sababu tu aligombea uenyekiti ambao kwenye kichwa chake yeye anaamini kuwa hiyo ilikuwa ni "mali ya Freeman Mbowe" na hivyo Tundu Lissu alifanya kosa la jinai kuutwaa uenyekiti wa Mbowe mali ya mtu binafsi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…