Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu?
2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura?
2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao? Wanadhani Mbowe atachakachua kura?
3. The whole process raises a number of doubtful questions. Wamekuwa wanalalamika chaguzi nyingi za serikali, sasa mimi mwananchi wa kawaida niwaamini vipi sasa kama wanashindwa kusimamia uchaguzi wenu wa ndani?
4. Na ni kwanini mlibadilisha katiba kutoka kuwa na ukomo wa uongozi? Museveni alifanya hivi pia, Kagame alifanya hivi pia