Mzee, Coffee Bar anayoizungumzia ni Cosy Cafe ambayo ilikuwa opposite Mbowe Bar.
Now that I have mentioned Cosy Cafe inanikumbusha novel aliyoandika mtu mmoja kuhusu Tanzania. I forget the name of the novel.
Lakini in that story yule protagonist,yule main character wa Ile story at one point anaingoa Cosy Cafe kupata kahawa.
As he is drinking coffee he is thinking," This is a wonderful country. But there is no Opposition.
All the Opposition is in Ukonga Prison."
Nikawa namweleza Mwalimu kuhusu hii novel,na Mwalimu,he was laughing his head off.
Sasa unasema Mbowe asichukue fomu.
Na inawezekana labda Mbowe atatangaza leo kutochukua fomu.
Anaweza kuhofia kushindwa Uchaguzi.
Sisi ni watazamaji tu.
Mtu aliye ndani ya Chadema sasa hivi anajua matokeo ya kura kama Mbowe na Lissu wakishindana.
Unajua yule Ussain Bolt akiamua kwamba "Nikishandana tena siwezi kuwa namba wani",basi anang'atuka. Kwa hiyo Mbowe anaweza kung'atuka kwa sababu hizo.
Lakini wananchi hawatajua kwa nini ameng'atuka. Watadhani imetokea mizengwe na hii itapunguza imani yao kwa chaguzi zote za Tanzania.
Watu wanafanya kampeni wanashindana, itakuwa too optimistic kudhania kwamba all the time Uchaguzi utafanyika kistaarabu. All you can hope for ni kwamba baada ya Uchaguzi watu watakuja pamoja.