Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

Kwa kweli hata mimi namhurumia sana Msigwa. Nikikumbuka zile nondo alikuwa anashusha bungeni mpaka machozi yananilengalenga! Kule Kizimkazi anajidhalilisha sana!
 
Taadhari x. Tahadhari ✓
 
Msigwa anatia huruma sana......hateuliki kabisa labda ataishia kupewa nusj nkaye tu....watamtisa na kumtumia kama toilet paper muda utaongea subirinii

..kuna watu ambao kwa rekodi zao ktk upinzani hawafai kabisa kuwa Ccm. Sasa Peter Msigwa ni mmoja kati ya watu hao.

..Ccm bora wangemnunua mtu mwingine lakini sio Peter Msigwa. Sio vizuri kumtumia vibaya mwanadamu mwenzako kama Ccm wanavyofanya kwa Msigwa.
 
Ww utakuwa ndo halima mdee...go go umekaribia kutoboa
 
Si tulikubaliana hapata fanyika Tena uchaguzi bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
Msigwa anatia huruma sana......hateuliki kabisa labda ataishia kupewa nusj nkaye tu....watamtisa na kumtumia kama toilet paper muda utaongea subirinii
Msigwa huyu ana laana damu ya Mzee Kibao iko juu ya kichwa chake yeye ndiye aliwaambia mabwana zake kuwa Mzee Kibao ndiye mpanga mikakati yote ya Chadema hivyo akiuwawa Chadema itakufa nao wakaingia kichwa kichwa wakamuua Mzee wa watu,lazima Msigwa alipe kwa ushenzi huu.
 
Kama ni kweli alifanya hivyo, basi Msigwa atatembea na laana hiyo mpaka siku anasindikizwa kaburini.. Tushindane, tubishane, tukosoane lakini tusiuane.
 
🙄🤔🤫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…