Wana CHADEMA waliolazimishwa kujiunga CCM Wana mpango wakurejea Chadema hivi karibuni CCM chukueni taadhari

Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA.

Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025.

Wakati huo huo akina halima Mdee tayari wameandika barua yakuomba radhi kwa chama chao na wanatarajiwa kuwasilisha barua hiyo rasmi makao Makuu ya Chadema.

Katika mikakati iliyopo sasa na inayoshukiwa na baadhi wa Makada wa CCM ambao wanaamini watakatwa majina yao 2025 ni kwamba endapo watakatwa basi hawatakaa staafu siasa bali wataingia upande wa pili kupigania haki zao.

Moja ya mbinu inayokusudiwa kutumika nikuhakikisha kwamba wagombea wote watakaoteuliwa bila sifa ndani ya CCM wanapata wapinzani wakubwa na wenye nguvu kwa wapiga kura kama ambavyo uchaguzi wa mwaka 2010 na 2015 ilifanyika.

Wakati huo pia Gwiji la siasa Mzee Slaa amepanga kufanya mazungumzo na hasimu wake kifikra Mhe. Lisu katika kile ambacho kinaelezwa kuendelea kunogesha mapambano ya haki ndani ya nchi.

Je, CCM itakubali kuona wanasiasa waliolazimishwa kuhama vyama wanakabidhi ofisi na magari nakurejea kwenye harakati za ukombozi?
Hahahahahah nachoweza kukushauri ni kwamba hakikisha umevaa pampasi ili usije ukachakaza godoro kwa hizo ndoto zako😁!

Hakuna mtu ambaye atakubali kukabidhi VXR na posho za ubunge au cheo ili tu akakipiganie Chadema ambacho mnufaika namba moja wa Ruzuku ni Aikaeli.
 
Kuna majadiliano na mawasiliano yanafanyika kuhusu utaratibu mzuri wa waliokuwa wanasiasa ndani ya chama cha CHADEMA wakalazimishwa na JPM wahamie CCM wanajipanga kurejea CHADEMA.

Mkakati huu unaratibiwa vyema na viongozi wa juu wa Chadema ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu 2025.

Wakati huo huo akina halima Mdee tayari wameandika barua yakuomba radhi kwa chama chao na wanatarajiwa kuwasilisha barua hiyo rasmi makao Makuu ya Chadema.

Katika mikakati iliyopo sasa na inayoshukiwa na baadhi wa Makada wa CCM ambao wanaamini watakatwa majina yao 2025 ni kwamba endapo watakatwa basi hawatakaa staafu siasa bali wataingia upande wa pili kupigania haki zao.

Moja ya mbinu inayokusudiwa kutumika nikuhakikisha kwamba wagombea wote watakaoteuliwa bila sifa ndani ya CCM wanapata wapinzani wakubwa na wenye nguvu kwa wapiga kura kama ambavyo uchaguzi wa mwaka 2010 na 2015 ilifanyika.

Wakati huo pia Gwiji la siasa Mzee Slaa amepanga kufanya mazungumzo na hasimu wake kifikra Mhe. Lisu katika kile ambacho kinaelezwa kuendelea kunogesha mapambano ya haki ndani ya nchi.

Je, CCM itakubali kuona wanasiasa waliolazimishwa kuhama vyama wanakabidhi ofisi na magari nakurejea kwenye harakati za ukombozi?
Weka majina!
 
Kama akina mdee watasamehewa Basi, Imani ya upinzan nchini itazikwa, itabd kuangalia namna nyingine ya kupambana na CCM.
 
Back
Top Bottom