Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Wakulu salama....??

Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo.



Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni BAGAH na mwingine ni Erickb52
Kisichana kilichotinga blue ndo Mamndenyi wakati cha kulia kabisa ndio ummu kulthum. Kushoto mwa Erickb52 ni KARIA nyuma yake ndo princess enny. Kidume kilicho mbele bila shati ndio Kaizer sasa. Kulia kwa Kaizer ni kilimasera na kushoto kwake ndio Madame B. Nyuma ya Madame B yuko Judgement. Hako kalikobebwa na Kongosho ndio charminglady. Anayechungulia kwa nyuma kabisa ni HYGEIA wakati yule tall kuliko wote ndio Eversmilin Gal



Hapa ni beibe nasty, wahida, Cantalisia na Catherine wakikata mkonyonyo. Radio ya philips haionekani hapo wala DJ Bishanga naye kamera haikumnasa

Sasa hebu angalia watu wanavyobadilika:



Mentor
na Catherine





Kongosho
akimshikisha adabu Erickb52



Bishanga
akiwa kishashiba



@Mamndenyi akimchekesha Yummy



Kaizer
akimsindikiza mwaJ



charminglady
na platozoom



Wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico, ile albamu nyingine mmeiweka wapi??
 
Haya kam zis way nikukate kiu...

Dah!
Kitu cha Ndovu bardiiiii,
Kinatema umande na unyevunyevu wa ubaridi.
Na pembeni kuna mguu wa mbuzi wa kuchoma,
Made in Vingunguti area.
Nisubiri nakuja to ur way Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…