Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
68,223
Reaction score
96,083
Wakulu salama....??

Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo.

attachment.php


Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni BAGAH na mwingine ni Erickb52
Kisichana kilichotinga blue ndo Mamndenyi wakati cha kulia kabisa ndio ummu kulthum. Kushoto mwa Erickb52 ni KARIA nyuma yake ndo princess enny. Kidume kilicho mbele bila shati ndio Kaizer sasa. Kulia kwa Kaizer ni kilimasera na kushoto kwake ndio Madame B. Nyuma ya Madame B yuko Judgement. Hako kalikobebwa na Kongosho ndio charminglady. Anayechungulia kwa nyuma kabisa ni HYGEIA wakati yule tall kuliko wote ndio Eversmilin Gal

attachment.php


Hapa ni beibe nasty, wahida, Cantalisia na Catherine wakikata mkonyonyo. Radio ya philips haionekani hapo wala DJ Bishanga naye kamera haikumnasa

Sasa hebu angalia watu wanavyobadilika:



Mentor
na Catherine

kls-wmk.php




Kongosho
akimshikisha adabu Erickb52
attachment.php



Bishanga
akiwa kishashiba
attachment.php



@Mamndenyi akimchekesha Yummy
attachment.php



Kaizer
akimsindikiza mwaJ
article-1369974-0B5523CE00000578-516_468x775.jpg



charminglady
na platozoom
attachment.php



Wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico, ile albamu nyingine mmeiweka wapi??
 
Back
Top Bottom