Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Hahahaha! babu Asprin umenikumbusha mbali sn aisee umri huo ndio mama alikua ananipa training ya namna ya kuitumia nyonga nitakapokua mkubwa,so pale ilikua naprove jins nilivofuzu kipengere cha mauno lol!weka bas na hiyo albam ingine bana!
 
Last edited by a moderator:

Basi kumbe Blaki Womani alinidanganya. Kumbe haya makitu umefundishwa na mama yako?

Last edited by a moderator:
Basi kumbe Blaki Womani alinidanganya. Kumbe haya makitu umefundishwa na mama yako?

Khaaaa!Asa babu Asprin hii picha yangu na mme wangu Rejao tukiwa hone moon huko bankok mbona umeipata wapi!ungeniuliza kabla hujaitundika humu bana!utanisababishia usumbufu ujue!
 
Last edited by a moderator:
Aisee! Hommie Asprin umeniwacha hopi nilidhani hii picha iliungua kumbe ulituzidiujanja ukabaki nayo
mwaJ come zis way tafadhali

Kuna mtu kanionea cacico? Nina neno naye...
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia nipo my dia mzunguko wa mambo naona Rejao amekubana sana.......babu hana lolote anandoto ya wanzuki ya jana

Dah!yan ww acha tu ndugu yangu Rejao alinibana sn tulikua anvesari ya ndoa yetu but we are back mwaya! Wala hujakosea huyu babu jana amelala bar za 88!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…