Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

aseee :spy::spy:
Hebu kam this weiiii.... nahitaji haya makitu ujue...

184845_10150191427183098_624983097_8965843_4622031_n.jpg
 
Hahahaha! babu Asprin umenikumbusha mbali sn aisee umri huo ndio mama alikua ananipa training ya namna ya kuitumia nyonga nitakapokua mkubwa,so pale ilikua naprove jins nilivofuzu kipengere cha mauno lol!weka bas na hiyo albam ingine bana!
 
Last edited by a moderator:

Basi kumbe Blaki Womani alinidanganya. Kumbe haya makitu umefundishwa na mama yako?

article-1369974-0B4F0F4E00000578-790_224x525.jpg
 
Last edited by a moderator:
Aisee! Hommie Asprin umeniwacha hopi nilidhani hii picha iliungua kumbe ulituzidiujanja ukabaki nayo
mwaJ come zis way tafadhali

Kuna mtu kanionea cacico? Nina neno naye...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom