Wana Chit Chat Nisaidieni mwenzenu

Wana Chit Chat Nisaidieni mwenzenu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Jamaa walikua safarin wakapita mbugani m1 akamwambia mwenzie umewaona simba walee? jamaa akajibu alaa!kumbe wale ndo simba?sasa pale kaseja ndo yupi? Wana chit chat mi mwenyewe simjui kaseja eti yukoje?
 
Ahhhh Bujibuji kwani hujamuona kaseja yule mwenye sharubu
 
Last edited by a moderator:
Mie mwenyewe mgeni hapa msituni.
Ika nahisi simba anafanana na Boflo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom