Wana Da Wing tupo kwenye kwalesma je baada ya kwaesma??

Wana Da Wing tupo kwenye kwalesma je baada ya kwaesma??

Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/403572-jf-dar-wing-soma-hapa-muda-unayoyoma.html tukajua nini chakufanya maana ma opportunity ndo haya!

Ni Kweli Shemeji!
Unajua tangu White Party iishe,hatujawahi kukutana kbs.
Wazo lako zuri na inabidi tukutane ili tuzungumze maswala yetu.
CC: Zion Daughter,ukipata lifti ya kwenda Galilaya nami nishtue twende wote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom