KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Feb 19, 2013 #1 Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/403572-jf-dar-wing-soma-hapa-muda-unayoyoma.html tukajua nini chakufanya maana ma opportunity ndo haya!
Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/403572-jf-dar-wing-soma-hapa-muda-unayoyoma.html tukajua nini chakufanya maana ma opportunity ndo haya!
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,244 Feb 19, 2013 #2 Baada ya kwarwezma tutaenda na Yesu GALILAYA.. na kuzisubiri ndimi za moto.. Shikamoo KakaKiiza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Feb 19, 2013 Thread starter #3 Zion Daughter said: Baada ya kwarwezma tutaenda na Yesu GALILAYA.. na kuzisubiri ndimi za moto.. Shikamoo KakaKiiza Click to expand... Pole maana niliikata bahati mbaya kumbe imejitundika!!ila marihabaaaa!
Zion Daughter said: Baada ya kwarwezma tutaenda na Yesu GALILAYA.. na kuzisubiri ndimi za moto.. Shikamoo KakaKiiza Click to expand... Pole maana niliikata bahati mbaya kumbe imejitundika!!ila marihabaaaa!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,579 Feb 19, 2013 #4 KakaKiiza said: Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/403572-jf-dar-wing-soma-hapa-muda-unayoyoma.html tukajua nini chakufanya maana ma opportunity ndo haya! Click to expand... Ni Kweli Shemeji! Unajua tangu White Party iishe,hatujawahi kukutana kbs. Wazo lako zuri na inabidi tukutane ili tuzungumze maswala yetu. CC: Zion Daughter,ukipata lifti ya kwenda Galilaya nami nishtue twende wote. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
KakaKiiza said: Kama kawaida ya wana Dar Wing nimeona nitoe wazo hili je manaonaje baada ya shamlashamla za za Pasaka tukakutanyika na kupanga mikakati kama Madame B alivyozungumza kwenye thread hii https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/403572-jf-dar-wing-soma-hapa-muda-unayoyoma.html tukajua nini chakufanya maana ma opportunity ndo haya! Click to expand... Ni Kweli Shemeji! Unajua tangu White Party iishe,hatujawahi kukutana kbs. Wazo lako zuri na inabidi tukutane ili tuzungumze maswala yetu. CC: Zion Daughter,ukipata lifti ya kwenda Galilaya nami nishtue twende wote.