Wana Dar es salaam madhara kunywa maji ya baridi wakati wa kula chakula

Wana Dar es salaam madhara kunywa maji ya baridi wakati wa kula chakula

Mbona niliona wazungu wanakula chakula komoja kimoja hali huku bongo sahani moja mchanganyiko wali.mchicha.nyama.na maharage je huwezi pata tatizo la tumbo
Ndiyo maana tunaongoza kuwa na vitambi,wenyewe tunaona ndo afya bora kumbe zaidi ya HATARI.
 
Back
Top Bottom