Royal Tour
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 252
- 459
Ndiyo maana tunaongoza kuwa na vitambi,wenyewe tunaona ndo afya bora kumbe zaidi ya HATARI.Mbona niliona wazungu wanakula chakula komoja kimoja hali huku bongo sahani moja mchanganyiko wali.mchicha.nyama.na maharage je huwezi pata tatizo la tumbo