Martin Maqway
Member
- Sep 22, 2013
- 19
- 2
Tulikuwa na ziara ya kishule 2lipofika maeneo 2liyoyatembelea kila mmoja alijiachia,wakti 2mejiachia kuna mwalimu wetu wa kike alivaa kimini wakat amekaa nguo zake za ndan zilionekana,wakati huo taarfa ilimfikia kuwa kuna wanafunzi wanakucheki kidezein fulan, wanafunzi hao walifukuzwa shule je wanafunzi hao walitendewa haki?