Wana Gangilonga mpo?

Wana Gangilonga mpo?

unamkumbuka abby sanga, maneno sanga, wa kichangani na gangilonga dar. vii 1982? leo mmoja ana CPA NA MWINGINE NI ENGINEER. HONGERA ZAO
 
nami nilicheza sana basketiboli hapo....mudi msomali (kazeeka sasa hivi) yupo sweden... bradha Dick Urasa ni marhum (RIP)...chesi...majuto na Muna lipangile
Musa Mgata na dada yake alikuwa bongebonge hivi wakati huo. Yohana, Amani na dada yao Ivonne nasikia wako Usa......siku nyingi zimepita nakumbuka sana jiwe la gangilonga....migagi pale shuleni gaprisco.........zambarau kwa kina makia siyovelwa.....machungwa kwa kina david mung'ong'o......duuuuhhhhhh
"Natamani siku zirudi nyuma.........." - Lady JD

Mkuu hebu ni PM, nilicheza na watu hawa pale Kleruu
 
omera alikuwa mweusi,pale pembeni shule ya mapinduzi kama unaenda jiwe gangilonga kuna tajiri alikuwa anaitwa Kisigo

Ndio kisigo ana nyumba ingine mjini uhindini ukuta mmoja na mt huwel karibu na duka la premji
 
Ndio kisigo ana nyumba ingine mjini uhindini ukuta mmoja na mt huwel karibu na duka la premji

huyohuyo mkuu sijui kama bado yupo,Majuto lipangile na dada yake Muna lipangile(R.I.P)ni ndugu na Zainabu (Zay B)kitambo sana Gangilonga
 
niliipenda sana hii story ya wanagangilonga mimi ni kati ya waliosoma mwaka 1983 hadi 1990 kwa kweli kulikuwa na mazuri na mabaya yake kwa wanafunzi wa gangilonga hasa kwa mwanafunzi mmojammoja mfano gangilonga ilikuwa ni shule ya watu wa hali ya juu sana ninamaana kalibu asilimia 97 maisha yao yalikuwa ya juu sana sasa kama mwenzangu na mimi ungekuwa kama mimi ilikuwa ngumu sana chukulia huna viatu vya shule yuniform paire moja tena huna hera ya kufua kila siku inakuwa hatari sana nawakumbuka kina samora mbawala william mshangama msafili makumuro na wengine wengi mimi ni Geraldy kibassa
 
Duuh inaelekea wewe umesoma enzi za 1982 hivi... Mimi nilikuwepo darasa moja na Zena Mkwawa,Nassor Mkwanda,Stewart,Sadi na Said(Watoto wa DD Nurdin),Vedasto,Nyambilila,Joyce Kibasa,Clement Kiwia etc tulimaliza 1987...

Thread hii ni ya LONG TIME ila ndio nimeiona leo. Nyambilila alitutesa sana, kila siku wa kwanza yeye tu! wapi Isack Ogundezi, wapi Godfrey Jaffet, wapi Samia Ali/msomali, wapi Nikwisa Lutufyo, wapi Amanda,wapi Dastan Bryson, wapi Mercy Sanga, wapi Idi Mtalika, wapi Joseph Kulagwa, kuna yule dogo alikuwa anakaa kule chini ndiuka alikuwa anatupeleka kuoga mto ruaha. wapi moses mkandawili/alikuwa mbabebabe hivi, kuna na jamaa mmoja alikuwa anakuja shule akipenda tu, muhuni hivi na kazi yake siku akionekana school nikutusimulia movie za kihindi tu. Nilisikia Nasoro Mkwanda ni muhasibu wa manispaa ya wilaya Morogoro.
 
Duuh inaelekea wewe umesoma enzi za 1982 hivi... Mimi nilikuwepo darasa moja na Zena Mkwawa,Nassor Mkwanda,Stewart,Sadi na Said(Watoto wa DD Nurdin),Vedasto,Nyambilila,Joyce Kibasa,Clement Kiwia etc tulimaliza 1987...
Tusker baridiii! je wewe ninani hasa? nadhani tulisoma wote enzi hizo maana hawa members wote nawajua. Je unamkumbuka ISACK OGUNDESI? Nasoro mara ya mwisho alikuwa moro mhasibu wa manispaa ya wilaya.
 
Hii thread inanikumbusha
mbali sana sana


Tusker Baridii nafikiri tulikuwa wote class moja, mi nilikuwa Class ya 1987, hii thread inanikumbumbusha mbali sana sana, class mate wangu walikuwa ni Kina Joyce Kibasa, Zena Mkwawa, Nyambilia Amuru, Makumulo Waziri, Stewart Mwakabuta, Idi Mtalika, Nasoro Mkwanda, Mercy Sanga, Charles Lusinde, Gloria John (mtoto wa RTO), Moses Mkandawile (RIP). Tulipomaliza seven me nilikukwenda Ifunda Tech Secondary School, lkn Colleagues wangu wengi walikwenda Lugalo Sec.
 
huyohuyo mkuu sijui kama bado yupo,majuto lipangile na dada yake muna lipangile(r.i.p)ni ndugu na zainabu (zay b)kitambo sana gangilonga

duh kumbe majuto amefariki.....very sad.........
 
niliipenda sana hii story ya wanagangilonga mimi ni kati ya waliosoma mwaka 1983 hadi 1990 kwa kweli kulikuwa na mazuri na mabaya yake kwa wanafunzi wa gangilonga hasa kwa mwanafunzi mmojammoja mfano gangilonga ilikuwa ni shule ya watu wa hali ya juu sana ninamaana kalibu asilimia 97 maisha yao yalikuwa ya juu sana sasa kama mwenzangu na mimi ungekuwa kama mimi ilikuwa ngumu sana chukulia huna viatu vya shule yuniform paire moja tena huna hera ya kufua kila siku inakuwa hatari sana nawakumbuka kina samora mbawala william mshangama msafili makumuro na wengine wengi mimi ni geraldy kibassa
miaka hiyo utakuwa umesoma na uswege alikuwa machachari sana mpirani baadae alikwenda soma highland,bila shaka utawakumbuka kina selina ngahuga,joseph mafole,ramadhani,,nancy mawere ila huyu alimtangulieni......duh those sweet days.........
 
Back
Top Bottom