Duuuh kumbe tajiri Kalinga hatunaye?Abdul masoli, daudi mwano, kina dorah ulaya walikuwa wanakaa opposite na lutheran centre hostel! Kina raiya wale wasomali pale! Mnakumbuka marehemu dr. Kalinga na ile mbwembwe ya karne? Alinawa soda akanywa bia kwenye party ya kuaga umasikini. Lol!
dah, enzi ya mzee kabongo, samwel sitta, gen. Lupogo! Nilipiga buku pale na kina steven kibasa, emanuel luvinga, imani mzungu, mabrouk kina huwel, samel sitta jr, damian masasi enzi za teacher Hassan ukipelekwa uwanja wa damu umekwisha. Rip mwl. Dule, mama mwakajila aunt yangu jamani, kina shambe, abdul masoli, du long time.
Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana (mwalimu wa upe)
Duuuh kumbe tajiri Kalinga hatunaye?
Jamaa alitamba sana iringa,lakini utajiri haukudumu.Bless him.
Wale waliosoma na wakina james kambofi,Yobu Mahenge Seif Mduda pamoja na Adam Mbyalu wapo wapi Godwin Kisinini na Castol Patrick?
Emanuel luvinga yupo Mwanza Damian Masasi yupo Makambako Abdul Masoli au Abdul Sabuni yupo Dar mitaa ya samora anaosha magari na Steve Kibasa ni marehemu alifariki kwenye tukio la ujambazi Arusha bwana mdogo alitokea kuwa jambazi hatari ila alikuwa na kipaji hatari
Kwa mafisadi
Ashatangulia mbele za haki na kina SHAMBE, S.T. Abri, John Bakery, wanaotamba na kutuchukulia dada zetu sa hv ni kina Huwel wenye ASAS!
Ha ha haaaa... I LOVE JF... Picha zaja...
Ngugu yangu huo ni mgawanyo wa kazi Wote tukiwa wanasheria nani atawaoshea magari yenu????Asante mkuu, hao wote walikuwa classmate zangu, natamani kumuona abdul, dingi yake alikuwa mkurugenzi wa IMUCU, dah amefikia kuosha magari, dah! Imma nafahamu yupo mwanza mwanasheria mwenzangu, ila ya steven kibasa imeniacha hoi, dogo alikuwa mkali class sijui akawaje jambazi, we kama ulisoma nao inamaana tulimaliza wote 93 mkuu.
Ngugu yangu huo ni mgawanyo wa kazi Wote tukiwa wanasheria nani atawaoshea magari yenu????
ndugu,njoo savana lounge..nipo hapa kaunta..napga ndovu,km vp ni pm![/QUOTE
Sijafika Iringa nikija nitaku-PM