Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwa sisi wana JamiiForums wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana.

Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa Dar.
 
Kwa sisi wanajamiiforum wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana. Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa dar.
Nisingefika dsm..nisinge ijua jf..wewe umeijulia wapi?

#MaendeleoHayanaChama
 
Pale washamba wa vijijini wanapotua Dar kwa mara ya kwanza😁😁😁
e0f159e6.jpg
 
Hapa Omurushaka, Kayanga, Kyerwa, Nkwenda, Mulongo
Kigoma, Kasulu, Kibondo, Buzebazeba, Gungu
Mpeta, Uvinza, Kazuramimba
Sengerema, Tabaruka, Ibisabageni
Ngudu Huku Kote JF Ipo Na Ina Members Tele
 
Usifike dar alafu uweze kuwa member wa jf halafu uweze kuwa member wa jf hii imekaaje?
 
Kwa sisi wanajamiiforum wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana. Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa dar.
Nguvu za kiume huku ni hizi.

IMG-20211003-WA0022.jpg

IMG-20211029-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom