witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
HeheheheKwa sisi wanajamiiforum wa vijijini ambao toka tuzaliwe hatujawahi kukanyaga Hilo jiji hebu tukutane hapa na kufarijiana maana wanadarisalama wanatudharau Sana. Jambo moja kubwa ambalo naamini kwa asilimia Mia moja ni kwamba sisi wanaume wa vijijini tunawazidi nguvu wanaume wa dar.