Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

Wana jamiiforum ambao hatujawahi kufika Dar es salaam toka tuzaliwe tukutane hapa

Ngoja nidake popcorn wakati natazama series ya Sleepy Hollow. Kwa mbali nitakuwa naangalia michango ya wanadarisalama (bhakumbwani) 😂😂😂
 
Kuamini ukiishi dar we ni mjanja, huu nao ni ushamba.
 
Tupo wengi tu mkuu.
Kwenda Dar wala siyo big deal..
Mkoani panatutosha.

Mimi wala sina mpango wa kwenda huko .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe!!!
IMG_20211022_105812.jpg
 
Back
Top Bottom