Stavros Myles
JF-Expert Member
- Jun 7, 2020
- 350
- 390
Kwetu...Wapi Kyerwa, Kayanga, Omurushaka, Bulila, Nshamba Ama
Jirani huyoooooooo nipo darajani hapa karibu na 8 8Home uyole mkuu,job inyala
Ngoja nikutembelee mkuuJirani huyoooooooo nipo darajani hapa karibu na 8 8
Nimeijua Jf kipindi nipo mpitimbi songea ,,, Kwaiy sharti la kuijua Jf lazma uwepo Dar ni batili MkuuNisingefika dsm..nisinge ijua jf..wewe umeijulia wapi?
#MaendeleoHayanaChama
Alikuambia nan? Tunavyokula mjin na huko mikoan vinafikaAsante Ila tuna nguvu za kuwapiga na za kuwapa dozi my wifu wenu.
Hata wewe!!!Tupo wengi tu mkuu.
Kwenda Dar wala siyo big deal..
Mkoani panatutosha.
Mimi wala sina mpango wa kwenda huko .
Sent using Jamii Forums mobile app