Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
-
- #21
Eh zinapungua watu ni matusi , connection za ngono, kuelezea pisi kali , basi ila za faida nopeNaunga mkono hoja
Jf inazidi kuangamia ......zile thread za kuwezeshana zinapungua
Nitakugawa😃ko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
ko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
Wengi wenu bado ndo memaliza vyuo mnasikilizia mishe mkiwa kwa wazaziko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
Nitakugawa[emoji2]
Wengi wenu bado ndo memaliza vyuo mnasikilizia mishe mkiwa kwa wazazi
Hamna mawazo...[emoji2957]
Tukue nasisi tufikiage huko 31 maana 😂tuondoke tu cuzo
Mzee tena 😂Wewe ni mzee hatari sana acha kudanganya uma
Kitambo sana, uko poa lakini?[emoji3][emoji3][emoji3]baki na mimi
Akikujibu nitag mkuuko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
Nigawie..!!Nitakugawa😃
hapana wakati wa kula tunda ki masihara tutawataftaNdo maana mna tu exkludi
LknImekuwaje tena jamani…😁😁