Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

Wana-JamiiForums hebu tuheshimiane

Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .

Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Kuna ambao hawakupitia childish stuff ujue🤣
 
Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .

Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Kwahyo Sisi wenye Miaka 25 kushuka chini Twende wapi sasa
 
Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .

Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Wenye miaka 25 na nusu tumefutwa rasmi humu?
 
Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .

Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Hapana rafiki wapo wadogo zetu kibao humu under 29. Tuna members humu wa 20 to 25 wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom