Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo wanawake wa Jf tukiwapa hela hata kwa kuwasaidia mnaona mmetuweza au sisi ni mabwege.
Nb. Hakuna kutoa hela sasa hivi mwanaume mpe hela mama yako tuu
Nini tena jaman😁😁😁
tutafute kazi za kufanya..ko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
Wamemuomba naniliu...😅Shida nini tena binti maua?
kazi za nini na sisi bado watototutafute kazi za kufanya..
nataka kwenda kwa Ngalikihinja bwanaAa wapi thubutu
Amehlo huendi kokote
Nendeni fesibuku ndio uwepo wenu unatambuliwa.ko sisi wenye 29 kushuka chini uwepo wetu hautambuliki kabisa humu
sawa ngoja nikusanye vilago vyanguNendeni fesibuku ndio uwepo wenu unatabuliwa.
Kuna ambao hawakupitia childish stuff ujue🤣Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .
Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Kwahyo Sisi wenye Miaka 25 kushuka chini Twende wapi sasaKwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .
Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Unasubiri nini?nataka kwenda kwa Ngalikihinja bwana
YOte maisha lknNini tena jaman😁😁😁
Wenye miaka 25 na nusu tumefutwa rasmi humu?Kwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .
Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
Hapana rafiki wapo wadogo zetu kibao humu under 29. Tuna members humu wa 20 to 25 wengi sanaKwa kujua watu wengi kwa sababu ya biashara, urafiki na kubadilishana mawazo . Humu jf wengi ni watu wazima sio wanawake au wanaume wote ni watu wazima humu hakuna mtu ana 29 kushuka chini humu 31 kupanda juu .
Ushauri tuheshimiane na kusaidiana tusipende kutesana ni muda wakutoa mada za kusaidiana . Nakutatua mambo kama watu wazima huku no kids to share child stories , .
nauliUnasubiri nini?
Akutumie japo najua utaila😁nauli