Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

Msidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
Kawadanganye ' Morons ' Wenzako tafadhali sawa? Katika nchi yoyote ile hakuna Mtu aliye juu ya ' System ' na ikiamua ' Kukuondoa ' kama ilivyowaondoa wengine ( tena waliokuwa na Vyeo vikubwa na Tishio Kiusalama na Kiulinzi ) na wanazijua Siri za Tanzania ( nje na ndani ) kuliko hata alizonazo huyu Makonda inaweza muda na wakati wowote ule.

Nakupa ' assignment ' moja jaribu Kusoma ' Literatures ' mbalimbali na jinsi Mashirika ya ( Taasisi za ) Kiujasusi ( System ) zinavyoweza kufanya Kazi zao ' Kimafia ' kwa Mtendaji ' Tishio ' ndani ya Serikali au Taifa ( Nchi ) husika ili uweze Kuuimarisha huo Ubongo wako ' Mweupe ' katika manbo ya Kinjagu ( Kiujasusi ) sawa?

Na kwa Kukusaidia tu na nakuomba lichukue na liamini hili kuwa ' Wapumbavu ' fulani Wachache mnaweza kudhani kuwa Paul Christian Makonda labda ' anaogopwa ' au ni ' Tishio ' ila tayari ' Missions ' kadhaa za ' Kumalizana ' nae kwa kile GENTAMYCINE nikiitacho ' Utaratibu wa Kimafia ' zinafanyika na lazima atakuwa ' Historia ' japo ' mnamvimbisha ' Kichwa.

Cc: mbwe
 
Umemjibu vyema sana Mkuu huyo Fool.
 
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.
Huna unachokijua bora unyamaze sawa?
 
Hirizi ya Makonda siyo ya kitoto
 
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.
Wanamuogopa vibaya sn
 
We bwege sana....unapiga piga kelele utadhani una kitu kichwani. Debe tupu haliachi kupiga kelele. Barking dog seldom bites. Makonda hawezi guswa. You know nothing and its better if you shut your mouth. Otherwise unataka tu kuonekana nawe upo.
 
Huna unachokijua bora unyamaze sawa?
Wewe huna unachokifahamu unachangamsha genge. Ukila ukavimbiwa inakuna anzisha uzi uonekane you re somebody. But just a brand new second hand. You are Mr. Chatterbox.
 
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.

Wapi ww, hizo siri si mpaka awe na pa kuzipeleka. Ni kwamba hawajamuamulia tu, lakini wakitaka hata leo wanamfanyia na hana lolote atafanya na hizo siri zake.
 
Wauza ganga mnafahamika kwa kisasi. Kosa la makonda ni kuwakatia maji na umeme.
 
Unakiri kwa kinywa chako kuwa Makonda alikuwa mtu mbaya sana, wakati huo huo ulikuwa shabiki mkubwa wa Magufuli,kwa jinsi ulivyo popoma aliyetukuka,hujui kuwa matendo ya Makonda yalikuwa na baraka zote za Dikteta Magufuli?
Na wewe Magufuli alikuwa ndo role model wako,halafu eti unamsisitiza Rais Samia amkamate Makonda, what a pathetic popoma are you?

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Msidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
Siri gani za kuroga kwa waganga?

Makonda hana nguvu yeyote aliyekuwa anamtuma ni

Magufuli hayupo

Kapilimba yuko Namibia

Yule mwingine ni katibu tawala sijui tabora hana tena influence.

Makonda hana chochote cha kuitisha jamuhuri.
 
Mimi sitamhurumia Makonda kwa kumpiga ngumi Mzee Warioba. Laana kaitaka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…