Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo makonda ni mkubwa kuliko Tanzania au?Msidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
Hebu usiutishe umma hapa, khaaaah.Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHayo mambo yao mengi anayoyajua labda awe ameyaficha matakoni kwake ndio maana kumetuna