Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

Niliandika na narudia kuandika tena. Huyo mtoto wa ibilisi DAB hakuna haja ya kumkamata wala kumchunguza,siku zake za kumfuata baba yake zimefika.
 
Siri gani za kuroga kwa waganga?

Makonda hana nguvu yeyote aliyekuwa anamtuma ni

Magufuli hayupo

Kapilimba yuko Namibia

Yule mwingine ni katibu tawala sijui tabora hana tena influence.

Makonda hana chochote cha kuitisha jamuhuri.
Angekuwa ameshakamatwa kama sabaya. Nyie acheni haya mambo. Anaogopwa sana.
 
Samia ni Magufuli.

Samia aliteuliwa na Magufuli kama alivyoteuliwa Sabaya, Hapi, Majaliwa,Mpango etc

Acha wanafunzi wa Magufuli waumane
Acha kupotosha Samia hakuteuliwa na Magufuli kama Sabaya na hao wengine, Samiha aliteuliwa na Kamati kuu ya chama kisha kuthibitishwa na mkutano mkuu! hata kama jina lilipendekezwa na Magu, upatikanaji wa Samia haufanani kamwe na upatikanaji wa Sabaya na hao wengine! Magufuli alikuwa anauwezo wa kuwatengua hao kina Sabaya wakati wowote ambao angetaka lakini hakuwa na nguvu hiyo kwa Samia
 
Siri gani za kuroga kwa waganga?

Makonda hana nguvu yeyote aliyekuwa anamtuma ni

Magufuli hayupo

Kapilimba yuko Namibia

Yule mwingine ni katibu tawala sijui tabora hana tena influence.

Makonda hana chochote cha kuitisha jamuhuri.
Na uzuri ni kwamba ukishatolewa kwenye system unakuwa mweupe kama karatasi yaani ngumu sana kupata ubuyu wenyewe. Hivyo makonda hana chochote cha kuitisha jamhuri na kama kweli wakiamua hachukui hata 24hrs
 
Msidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
Lowassa alikwenda wapi na Siri zake..., Ukishatoka kwenye system wewe na Siri zako hata ukizisema watasema ni mzushi tu...., na utapigwa propaganda...
 
Angekuwa ameshakamatwa kama sabaya. Nyie acheni haya mambo. Anaogopwa sana.

Haki kunguni zako unasaga ziko much more “smellable” kuliko hizi zenyewe, brand gani hii?

Hii yako inachonga kama alivyo na “kisa” chake kama kilivyo (hologram kind of kunguni)
 
Hawezi kumtumbua Makonda, kumbuka 2014 baada ya Bunge la bajeti Makonda aliwahi kupendekeza kuwa ikiwezekana Mama Samia awe Makam wa wa Rais 2015 na ikawa hivyo...kwa hiyo Mama Samia ana ushuhuda fulani toka kwa Makonda.
 
We bwege sana....unapiga piga kelele utadhani una kitu kichwani. Debe tupu haliachi kupiga kelele. Barking dog seldom bites. Makonda hawezi guswa. You know nothing and its better if you shut your mouth. Otherwise unataka tu kuonekana nawe upo.
Damn Fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…