KIKUBIJI
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 117
- 124
Yaani mwaka Wa kwanza tu anawabania,na nyie mnakubali ,basi nyie ndo ilikuwa tatizo.Huyu jamaa wakati nipo High School Old moshi alikua anatubania kuangalia EPL na Uefa Champions league kwenye hall ya Chuo cha ushirika pale na alikua mwaka wa Kwanza tu. Wana Old moshi tulikua tuna mchukia mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app