Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,313
Sio lazima mda wote usome huwezijua kasoma mda gani... Watu wa namna hiyo wapo wengi.Kuna picha inazunguka huko ma Whatsap na Instagram kwamba eti huyo aloyepiga usingizi wakati wenzake wakitafta vyeti halali ni Gavana ,wa hapo New York ya Tanzania,
Najiuliza swali huu ujasili wa kutupia picha za watu wakiwa hawataki picha za aina hiyo kuonekana mnaupata wapi??
Labda tunakosea sana si yeye,
Lakin nauliza jamaa hana vyeti kweli?
View attachment 1060816