Yaani mwaka Wa kwanza tu anawabania,na nyie mnakubali ,basi nyie ndo ilikuwa tatizo.Huyu jamaa wakati nipo High School Old moshi alikua anatubania kuangalia EPL na Uefa Champions league kwenye hall ya Chuo cha ushirika pale na alikua mwaka wa Kwanza tu. Wana Old moshi tulikua tuna mchukia mbaya.
Aaaaaaaaaiiiiseeeeeeeeee!!!!!!!!Daudi akishakula maharage alipenda kupiga mbonji
Yaani mwaka Wa kwanza tu anawabania,na nyie mnakubali ,basi nyie ndo ilikuwa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa!yuleee kalalaHivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuoView attachment 1059456
Mungu hakunyimi vyoteWanaofeli shule/darasani huwa wanafaulu sana maisha...
Sijui kwa nini...
Mwambie mwanao afeli shule ili afaulu maishaWanaofeli shule/darasani huwa wanafaulu sana maisha...
Sijui kwa nini...
Sidhani kama umetumia akili kuandika mkuu, sorry!!
Shangaa inakuaje wote wako active ww tu ndo unalala hyu alikuwa hapend shuleDaudi akishakula maharage alipenda kupiga mbonji
Mi naona kama ametumia akili nyingi sana ktk kuondoa hizo fikra mbovu, elimu ni urithi muhimu sana kwa watoto. Kubahatisha si kufanikiwa.Sidhani kama umetumia akili kuandika mkuu, sorry!!
mle ba nyana geteee bing'we, mtena masala, gete bakema?ha haaaaaaaaaaa
Huyo ni Bashite