Wana JamiiForums waliosoma na Paul Makonda

Sio lazima mda wote usome huwezijua kasoma mda gani... Watu wa namna hiyo wapo wengi.
 
Hamna kosa lolote wala cha kushangaza hapo! Kupumzika ni kawaida tu sema mmeamua kuitungia hiyo picha sentensi zenu mnazozitaka.
 
We huoni sura ni yeye kabisa!!!!we unazani zile f f f f f f f zilisababishwa na nn kama sio huo usingizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waswahili hamueleweki.

Si huwa mnasema kufeli shule sio kufeli maisha.

Sasa kama alipata f f f f na kwa sasa amekuzidi wewe kwa almost kila kitu pamoja na hizo A zako. Nani anakuwa amefaulu kimaisha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…