Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Aiseee!Waswahili hamueleweki.
Si huwa mnasema kufeli shule sio kufeli maisha.
Sasa kama alipata f f f f na kwa sasa amekuzidi wewe kwa almost kila kitu pamoja na hizo A zako. Nani anakuwa amefaulu kimaisha ?
HahaHuyo ni shujaa wa kula kwa uma. Kila somo alilopiga jamaa aliondoka na umma.
Unathibitishaje kua kanizidi!? na pia ukimzidi mtu ndo ulete dharau kumuita binadam mwenzio wa hovyo!? Shame on you na huyo bashite wakoWaswahili hamueleweki.
Si huwa mnasema kufeli shule sio kufeli maisha.
Sasa kama alipata f f f f na kwa sasa amekuzidi wewe kwa almost kila kitu pamoja na hizo A zako. Nani anakuwa amefaulu kimaisha ?
kisa kundu
Wewe unapomdharu yeye kutokana na kufeli kwake darasani unakuwa na tofauti gani na yeye. Maana wote mna tabia za kudharau wengine.Unathibitishaje kua kanizidi!? na pia ukimzidi mtu ndo ulete dharau kumuita binadam mwenzio wa hovyo!? Shame on you na huyo bashite wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo jameni mkimuamulia mtu Ni nomaHuyo ni bashite moja nasikia alikuwa anajamb@ hatari
🤣🤣🤣🤣Kwa aina hiyo cheti atoe wapiHuyo ni bashite moja nasikia alikuwa anajamb@ hatari
Yes sir
Hahahah, ukiskia maisha sio fair hii ndio tafsiri yake!Hahahaha maisha bwana wanaosoma usishangae bado wanangojea ajira aliye lala ni mheshimiwa maisha bahati sio kusoma wala kufanya kazi kwa nguvu bahatiiiiiii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakuwa ni mtu asiyejulikana.
Wale msuli paper wanatoka povu kweli kweliHahahah, ukiskia maisha sio fair hii ndio tafsiri yake!