Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #41
Kati ya Simba na Yanga nani alifungwa magoli mengi zaidi, tuwekee mwwka na wafungaji ,maana mi nitakuwekea 6-0 na wafungaji,5-0 na wafungajiTaja klabu inayoongoza kuifunga magoli mengi na mechi nyingi Makolokolo SC duniani [emoji4]View attachment 2828213
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app