Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

siku ya kumwaga zege site hatuangaliagi! Unaweka pilipili halafu unapiga vitu! Hakuna kuremba!
Hahahahaha! Na ile misosi ya kwenye ndoo bila kukolezea na pilipili haiendi lol.. Kuna mpaka makande ya sh 100 teh teh!
 
Back
Top Bottom