Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

siku ya kumwaga zege site hatuangaliagi! Unaweka pilipili halafu unapiga vitu! Hakuna kuremba!
Hahahahaha! Na ile misosi ya kwenye ndoo bila kukolezea na pilipili haiendi lol.. Kuna mpaka makande ya sh 100 teh teh!
 
Hahahahaha! Na ile misosi ya kwenye ndoo bila kukolezea na pilipili haiendi lol.. Kuna mpaka makande ya sh 100 teh teh!

hivi hapa tunazungumzia nini? Na huyu Mr Rocky anabishana na nani? Mmenivuruga hapa hadi muhudumu kanizidishia ndovu moja!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…