Wana Jf Dar wing habari zenu nimeingia jijini kwenu kimya kimya leo!!

Wana Jf Dar wing habari zenu nimeingia jijini kwenu kimya kimya leo!!

Tonykp

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
1,642
Reaction score
680
Nipeni updates zenu mara moja nipo mlimani city kwa sasa
 
Siku nyingine utoe taarifa mapema usije ukadondokewa na... unachezea mkandalasi!
 
chezea dar wewe? ???????!!!!m

Haya bhana,...hope wanaogopa kupanda milima kuja huko mliman city mkuu,.hebu telemka mpaka pande za tabata,kimara,sinza and the like...halafu uone kama hawataitika mkuu
 
Haya bhana,...hope wanaogopa kupanda milima kuja huko mliman city mkuu,.hebu telemka mpaka pande za tabata,kimara,sinza and the like...halafu uone kama hawataitika mkuu
corner bar mida ya saa nne mkuu
 
upo pande gani? njoo hapa samaki samaki. au nielekeze pande ulizopo hapa. mia
 
Daah! Ukuje Las vegas casino kuanzia saa 7 za usiku utanikuta na toto la kichina zuri kinoma noma ujue ndio mimi
 
Back
Top Bottom