chezea dar wewe? ???????!!!!m
Njoo kitaa cha home Serengeti boy wangu.Kuna mibiere na mijinyama ya adabu.upo pande gani? njoo hapa samaki samaki. au nielekeze pande ulizopo hapa. mia
Njoo kitaa cha home Serengeti boy wangu.Kuna mibiere na mijinyama ya adabu.
corner bar mida ya saa nne mkuu
Nishaondoka.Nauza sura Uhuru Peak hapa.mkuu bado upo hapo au baadae nije kwa ben? kwa ben kuna nini au pamepoa leo?. mia
Nipeni updates zenu mara moja nipo mlimani city kwa sasa
nimeshachelewa sijui umeshakaguliwa??chicken hut!!!!!!!!!!