JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Copy kwa marejesho
we watia chumvi tu....
mzima lakini, umepotea kabisa nikiwa naondoka ndio unajitokeza lol
Naulizaje ukifika dar utaanzisha tena sredi nyingine? Ya safari ya arusha!?
hahaha kuna part 3 hiyo lazima na wewe uwemo haiwezekani mi nikae huku kama mtawa
hahaha kuna part 3 hiyo lazima na wewe uwemo haiwezekani mi nikae huku kama mtawa
sosoliso njoo
ujionee mwenyewe!
Eh nimekoma! Hiyo itakuwa ni full udakuz!
si mpango wako
na Paloma!
upi tena? unanishtua mie nachill balaa hapa
Nipeni updates zenu mara moja nipo mlimani city kwa sasa
hahahaha kwahiyo unanichongea kwa sosoliso nimgeuze songombingo
mi naongea
ukweli,unataka uibe
mke wa mwenzio uje nae huku!
si wa jiwe kuja
arusha part 3,mnapanga
mje wote eti hawezi kaa
kama mtawa hahaaa!
acha kunifukuzia kindege changu... mamvua yote na mabaridi yenu ya arachuga mnataka yanipe ngiri lol
we subiri sosoliso akuje!
heheeee!ngiri lol!
wenyeji si wapo huko!