mwache aje si mshika pembe tu yule....
mi naongea
ukweli,unataka uibe
mke wa mwenzio uje nae huku!
nani kamuona manoah?. tulipanga leo tukacheze dats. sasa naona kama vile anataka kunikimbia. mia
figganigga nipo mkuu siwezi kimbia mkuu
narudi tena after 2weeks nitakutafuta,well i had a wonderful moments in dar!!
mambo vipi mkuu?. mia
viwango tatizoooo, acha kukwepesa kwepesa
habari yako mkuu?. Hujambo kabisa?. nakutakia siku njema wewe na Jiwe Linaloishi. mia
talaka zangu natumaini unazo so funguka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jiwe Linaloishi.. Una hamu ya kutupiwa majini pori wewe.. Endelea kumsololea mahabuba wangu Paloma.. Utatafuta waganga bara na pwani..
hahaaa!mbona wapo
warembo niliwaona
habari yako mkuu?. Hujambo kabisa?. nakutakia siku njema wewe na Jiwe Linaloishi. mia
unataka kusema Jiwe Linaloishi haumtaki. miamimi na Jiwe Linaloishiau mimi na Ruttashobolwa???!!!we figganigga unantaka maneno ee!!